Rihanna anamzimikia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng.
Kupitia Twitter, Rihanna alisema kuwa kutokana na mchezaji huyo
anayekipiga pia FC Schalke 04, alijikuta akiwa shabiki wa Ghana
ilipokuwa ikicheza na Marekani juzi.
Hata hivyo huenda Riri aliangushwa na timu hiyo baada ya kufungwa bao 2-1.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment