Mwanadada
Rihanna amehare nasi picha akiwa anakula GUDI TAIMU na mtoto wa ndugu
yake Noella Alstrom aliejifungua mwanzoni mwa mwezi huu...Ukiziangalia
kwa makini utagundua kuwa Rihana ameamua kutuonyesha upande wa pili wa
jinsi gani anewaza kuwa mama....kwani picha hizi zaidi ya KUMI
zimeonyesha akimuhudumia mtoto kila kitu......Sasa wadaku wahisi kuwa
labda Rihana anatalajia kuwa na mtoto wake siku za hivi karibuni....hii
inatokana na ujumbe aliokiwa akiuandika kwenye picha hizo....
BONYEZA HAPA
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment