Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Schumacher sasaBaada ya kukaa hopitalini kwa muda wa miezi sita akiwa amepoteza fahamu (coma), dereva wa mbio za magari ya formula 1 ambaye ni mshindi mara saba Michael Schumacher ameruhusiwa kutoka katika hospitali ya Grenoble University, Ufaransa.

Schumacher ametoka katika hospitali nchini Ufaransa na ameelekea Uswizi ambako atakuwa anapatiwa matibabu chini ya uangalizi wa watu wake wa karibu na madaktari binafsi.
Akizungumzia hali yake ya afya, meneja wake Sabine Kehm amethibitisha kuwa Schumacher yuko katika hali nzuri kiasi lakini ameshatoka kwenye coma.
Michael Schumacher ajaliSchumacher alipata alilazwa hospitalini hapo tangu December 29 mwaka jana baada ya kupata ajali katika milima ya barafu alipokuwa akitereza kama sehemu ya mchezo.
BONYEZA HAPA  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top