FIFA imetangaza kumfungia Luis Suarez mechi tisa za kimataifa, na adhabu
ya kutojihusisha na shughuli zozote za kandanda kwa miezi minne.Baada ya FIFA kumfungia Luis Suarez miezi 4 kutojihusisha na soka hali imezidi kuwa mbaya zaidi kwani kampuni anayoifanyia matangazo ya Adidas imetangaza rasmi kumtema......
kama huja like ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment