Judith Daines Wambura Mbibo, known as Lady Jaydee a Tanzania R&B/Zouk/Kwaito singer ,
Denial
a rumors that she apology Ruge Mutahaba….. These fiction was written
on Gazeti la Udaku…. Today On her Instagram account she posted the
Gazeti font page pic and she wrote this…."Katika
ulimwengu huu kumbe bado kuna watu wanafikiri wanaweza kutunga uongo
na dunia ikawaamini??? Duuuh! mmechelewa sana Ila km hiyo ni ndoto
yenu, basi endeleeni kuota na km ni njia tu ya kujiingizia kipato, bs
kila kheri. Mi nipo, mtanikuta tu.... "
Kutokana
na Uvumi ulionezwa na gazeti moja la UDAKU ...kuwa mwana dada komando,
Lady Jaydee amemuomba msamaha Ruge Mutahaba....Leo mwanadada huyo
ameamua kufunguka........Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM , Lady Jaydee
aliweka picha hiyo ya Gazeti na kuandika ujumbe mzito...Hatari
Sana....
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment