Jeneza likishushwa kaburini.
Kaburi la Deborah.
Picha ya marehemu.
Jeneza likiwa kanisani kwa ajili ya ibada.
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Nchi ya Ahadi, Harris Kapiga, akiwa kanisani kwa ajili ya msiba huo.
Rafiki mkubwa wa marehemu, Mama Wilbroad Slaa (kushoto) akilia kwa uchungu. Kulia ni mume wa marehemu.
Baadhi ya waimbaji na wasanii wakisalimiana.
Mwimbaji Upendo Nkone akishiriki ibada ya mwimbaji mwenzake.
Umati wa watu ulifurika makaburini.
MWIMBAJI wa
Injili, Deborah John Said, aliyefariki Juni 19 mwaka huu kwa tatizo la
kansa, alizikwa jana, Juni 23, kwenye makaburi ya -Jeshini
jijini Dar es Salaam ambapo waombolezaji wengi walihudhuria mazishi
hayo.Marehemu ameacha mume na watoto wanne.
(Na Gabriel Ng’osha/GPL)
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment