Gari
aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta
jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana
na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya
18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la
tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!
chanzo jamii forums
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment