Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kocha mkuu wa brazil scolari akishangilia na neymar baada ya kuwatupa nje chile
Mashabiki wa brazili wakishangilia ushindi
Wachezaji wa brazil wakishangilia baada ya kushinda penalt 3-2 dhidi ya chile
WENYEJI Brazil wameitoa Chile kwa penalti 3- 2 katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia mjini Uwanja wa Belo Horizonte, kufuatia sare ya 1- 1 ndani ya dakika 120. 

Shujaa wa Brazil alikuwa ni kipa Julio Cesar aliyeokoa penalti mbili za Alexis Sanchez na Mauricio Pinilla wakati Gonzalo Jara aligongesha mwamba, huku Marcelo Diaz na Charles Aranguiz wakifunga . Penalti za Brazil zilifungwa na David Luiz, Marcelo na Neymar , wakati Hulk na Willian misses walikosa . 

Brazil: Julio Cesar, Dani Alves , Thiago Silva, Luiz, Marcelo , Fernandinho, Gustavo, Hulk, Oscar, Neymar , Fred . Subs: Jefferson, Paulinho, Dante, Maxwell , Henrique, Ramires, Hernanes, Willian , Bernard, Jo, Maicon, Victor. Chile: Bravo , Mena, Isla, Silva , Alexis, Vidal, Vargas , Medel, Jara, Aranguiz , Diaz. Subs: Toselli , Albornoz, Carmona, Pinilla, Valdivia, Rojas, Orellana , Beausejour , Gutierrez, Fuenzalida, Paredes, Herrera. Referee: Howard Webb (England
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top