Msanii mwenye Swag na muonekano wa Trey Song kuanzia sura, mwili mpaka
tattoo, Jux , ameachia video ya wimbo wake "Nitasubiri" ulio rikodiwa
nchini China.
Baada ya kuuzinduwa Billcanas wiki kadhaa zilizopita, pata nafasi ya kuutizama hapa
kama huja like ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment