Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
               Fatuma Hussein akiwa na watoto wake mapacha

DADA mmoja Fatuma Hussein (30), anaomba msaada kwa Watanzania baada ya kutelekezwa na mzazi mwenzake.Akizungumza na mwandishi wetu maeneo ya Magomeni Makanya,
Dar dada huyo anadai kuwa aliishi na mzazi mwenzie kwa miezi miwili kama mke na mume na ndipo akapata ujauzito,wakati huo alishajitambulisha nyumbani kwao na kutoa posa baada ya kujifungua watoto njiti mapacha wakiwa na miezi saba.




                 
Watoto mapacha wakiwa wamelala.


                                       
Rahma akiwa kalala 


Rahmu akiwa kwenye pozi. 
Anadai mzazi mwenzake aitwaye 
Mussa Unguja kamtelekaza, akaongeza kuwa huwa haji kuwaona watoto. “Nikimpigia simu hapokei lakini siku moja aliipokea na akasema hana shida na watoto wangu, toka siku hiyo sijazungumza naye.


>>> GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top