Baada ya drama kati ya Solange na Jay z isiyojulikana
nini chanzo Solange ameonekana kumkasirikia dada yake Beyonce na kuanza
kutoa picha zake kwenye account yake ya Instragram zilizokuwepo ndani
ya miezi 14.
Kama imekupita hii Solange Knowles alimpiga Jay Z na pochi kwenye hotel ya Standard mjini New York City mnamo May 5 2014.
Picha aliyotoa Solange ni ya Beyonce iliyowekwa miezi 15 nyuma akiwa na Melina Matsoukas iliyopewa ujumbe wa “Girls moment.”
Matsoukas ni rafiki wa Solange na muongozaji wa Video aliyesaidia kutengeneza video ya Losing You, Video ya Beyonce “Her Story” na tangazo lake la Toyota. Pia ametengeneza video ya Rihanna “S&M”.
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment