Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua
kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati wa mazishi katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Mkurugenzi
wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella
wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva
Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17,
2014
Dada wa
Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa
mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17,
2014
PICHA NA IKULU
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment