Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya
nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’
amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu
(Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi
Kinondoni.
Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema
anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto
anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine
wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi
Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua
salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







mtoto wa keisha akionekana ni mwenye afya tele

Post a Comment
Post a Comment