Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwana mama Kim Kardsshian ambaye ni mpenzi wa Kanye West, ikiwazimebaki siku sita tu wawili hao wafunge ndoa....usiku wa jana mwana mama huyo ameonekana mitaa ya HOLYHOOD akiwa na jamaa katika mapozi ya UTATA...vyombo vya udaku nchini Marekani vinasema labda ni mambo ya MICHEPUKO....bado haijafaamika jamaa huyo ni nani hasa na Kanye West bado ajasema chochote kuhusi hili.....jionee mwenyewe picha hizo...

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top