Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Vijana wawili wakipigana hadharani maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar kisa kikidaiwa ni simu ya mkononi.
KATIKA pitapita ya kamera yetu leo mtaani imewanasa vijana wawili wakipigana hadharani kisa kikidaiwa kuwa ni simu ya mkononi.

Vijana hao walikuwa wakipigana maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar ambapo walijaza watu ambapo ilidaiwa kwamba mmojawapo ni fundi wa bajaji ambaye aliachiwa simu rehani na kumpa huyo kijana shilingi elfu mbili lakini baada ya kurudi na kutaka arudishiwe simu yake akakuta amebadilishiwa hali ambayo ilisababisha washikane mashati na kuanza kupigana huku wakijaza watu kibao.
<<<<Bofya hapa ulike page yetu>>>>   

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top