Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Happy: Luis Suarez wants to stay at Liverpool after scoring 31 goals in 33 Premier League games last season

Stricken: Suarez is fighting a battle against time to make the World Cup after knee surgery on Thursday
Balaa!: Suarez anapigana vilivyo na majeruhi ya goti lake ili acheze kombe la dunia baada ya kufanyiwa upasuaji jumanne ya wiki iliyopita.
National concern: A crowd gathers around Suarez as he leaves hospital in Montevideo
Golden boy: Suarez with his two children and his golden boot award after their May 11 match at Anfield
 
LUIS  Suarez amemwambia mchezaji mwenzake wa Liverpool kuwa ana mpango wa kubakia klabuni hapo msimu ujao ili kuisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa ligi kuu soka nchini England.
Jana jumatatu, Liverpool walisema kuwa kocha mkuu Brendan Rodgers amesaini mkataba mpya utakaomuweka Anfield mpaka mwaka 2018 na atapata nguvu zaidi kwa uwepo wa Suarez.
 
Ripoti zinasema Real Madrid wameweka dau la paundi milioni 100 kwa ajili ya kuinasa saini ya Suarez ambaye alisaini mkataba mrefu na Liverpool mwezi desemba mwaka jana na aliahidi kukaa muda mrefu klabuni hapo.
 
Lakini vyanzo vya habari Bernabeu vinaeleza kuwa hakutakuwa na haja ya kumsajili Suarez kama Karim Benzema atakubali kusaini mkataba mpya.
Mfaransa huyo ambaye yuko kwenye rada za Arsenal anahitaji kuongezewa dau na Real Madrid, lakini klabu hiyo inaamini watafikia makubaliano na nyota huyo mwenye miaka 26 kabla ya kombe la dunia.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top