Anaaminika kuwa kwenye wanyama
wakubwa aina ya Mbwa basi huyu
anawezekana kuwa mbwa mkubwa zaidi.
Jina alilopewa na mmiliki wake ni Freddy
na anaurefu wa futi 7 na nchi 4.
Mlo wake kwa siku una Kilo 6 anaishi
Uingereza.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment