
Bi Vogel-Couple kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza
Katika Umri wa miaka 85, Sheila
Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza na kwa umri huo
bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa saa moja kwa kazi yake.
Akizungumza kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana."

Bi Vogel -Couple anasema anaamini bado anamvuto
Akielezea kwa nini ameamua kuifanya kazi hiyo, alisema: " Sababu ya muhimu zaidi ni kwamba napenda ngono. Hata kuifikiria tu inanifanya nijihisi vizuri''
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mirror, Sheila atakuwa kwenye makala maalum yanayoangazia wanawake wakongwe makahaba 'My Granny the Escort'.
Onyesho hilo litaangazia pia wanawake watatu makahaba walio vikongwe zaidi nchini Uingereza.
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment