List Ya washiriki wa tuzo za Kora mwaka 2014
imetoka kwa wiki hii na imekuwa mbaya zaidi
kwa watanzania kwani tegemeo letu au mtu
ambaye anatuwakilisha katika tuzo hizo
ameporomoka kutoka nafasi ya 2 hadi nafasi ya 8.
Unachotakiwa kukufanya kuzidi kuipaisha bendera
ya Tz kwa kumpigia kura za kutosha Diamond
Platnumz, ni kwenda kwenye ukurasa wa Kora
Awards kisha katika picha utayoikuta andika jina
la Diamond Platnumz ili kufanikisha apande zaidi
na zaidi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment