Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Aunt ezekiel afata nyayo za wema sepetu na
diamond the platnumz, ni jana tu tuliona diamond
the platnumz na wema sepetu waliamua kuachia
picha ikionyesha huku wakinyonyana ndimi, basi
na aunt yake akaona isiwe shida, na yeye huko
alipo dubai akaamua kufanya yake kwa kufanya
mapenzi na mpenzi wake, na baada ya hapo
akaamua kufotoa picha huku wakinyonyana ndimi
na kuficha sura ya mwanaume wake, haya hao
ndio wasani wetu na ndo vioo wa jamii sijui
wadau mnasemaje.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top