Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
BBC Swahili's photo.


Bongo movie kama inavyojulikana sasa nchini Tanzania inazidi kushamiri kadri miaka inavyozidi kwenda.
Filamu hizo zinaozigizwa kwa lugha ya Kiswahili hutazamwa na wazungumzaji wa lugha hiyo ndani na nje ya Tanzania.
Lakini suala kubwa la kujiuliza ni iwapo waigizaji wa filamu hizi wanafaidika. Leo tumetembelewa na mabinti wawili, wote wakiwa waigizaji maarufu nchini humo, Riyama Ali na Wastara Juma.BBC Swahili's photo.
Waigizaji hawa wamekuja hapa Uingereza kutengeneza filamu inayoitwa 'Ughaibuni.'
Kwanza Kasim Kayira amezungumza na Wastara Juma,akianza kwa kumuuliza changamoto wanazokumbana nazo kama wasanii. Bofya hapa kuangalia mahaojiano wakiwa studio za bbc
>>>>BBC 
<<<<<BOFYA HAPA ULIKE PAGE YETU>>>>>  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top