Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kim K. avaa Gauni yenye thamani ya USD 20,000 sawa na TZS. Milioni 33, kwenye bachelorette party kabla ya Harusi yake ambayo inatarajiwa kufanyika kesho.  Pia inasemekana Rachel Roy aliyesababisha ugomvi wa Jayz na shemeji yake Solange naye atakuwepo.

Inasemekana siku hiyo ya ugomvi Rachel Roy alionekana kuwa kwenye hisia za kimapenzi na Jayz mbele ya Beyonce na ndipo hapo Solange alipolianzisha.  Pia Jayz na Beyonce nao watakuwepo.  Jayz ndiye atakayekuwa BESTMAN wa Kanye WEST.




<<<<Bofya hapa ulike page yetu>>>> 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top