AJALI..Majira ya asubuhi Kitangiri..watu wawili papo hapo (mama mmoja na kijana wa kiume) wamefariki dunia mara baada ya gari dogo (gari lililowagonga hilo jeusi) lililokuwa likiendeshwa kwa kasi kuwagonga wananchi hao ambao walikuwa wakivuka barabara katika eneo la Kirangiri Kirumba jijini Mwanza.

Juhudi
za wasamaria wema kusitiri miili ya watu hao ziliendelea kufanyika eneo
la ajali ikiwa ni pamoja na kuwakimbiza Hospitali kwa uhakiki..
Dereva wa gari hilo alitokomea kusiko julikana mara tu baada ya kusababisha ajali hiyo.
Dereva wa gari hilo alitokomea kusiko julikana mara tu baada ya kusababisha ajali hiyo.
Wananchi wa maeneo hayo wakiendelea kuangalia huku wengini wakitoa wakifanya kazi ya kuwastili marehemu hao.
wananchi hawakuwa nyuma kwenye tukio hilo
Dereva wa gari hilo alitokomea kusiko julikana mara tu baada ya kusababisha ajali hiyo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment