Tingatinga
la Manispaa ya Ilala likibomoa vibanda vilivyojengwa maeneo
yasiyoruhusiwa Kariakoo katika operesheni safisha jiji iliyofanyika Dar
es Salaam, mitaa ya Aggrey na Livingstone.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiimarisha ulinzi wakati wa oparesheni hiyo.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment