Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

KULIA ni mwenyekiti wa kijiji cha
Vikindu jijini Dar akimtazama kijana
huyo alivyoharibiwa sura kufuatia kipigo
kikali kutoka kwa wananchi wenye
hasira kali,
Kijana huyo aliyedaiwa kuwa mwizi sugu
wakazi wa Vikindu mkabala na kijiji cha
Mkuranga, Baada ya kipigo walimpeleka
katika kituo kidogo cha polisi Vikindu
lakini kwa mujibu wa chanzo cha habari
ni kwamba Polisi wamkataa kutokana
hali yake ilivyokuwa mbaya.

TAZAMA PICHA HAPA CHINI

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top