Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Timu ya Arsenal jioni hii imeiondosha Liverpool kwenye kombe la FA baada ya kuipa kichapo cha goli 2 kwa 1
timu ya Liverpool ilijitahidi kurudisha na wakaambulia goli moja lilifungwa kwa mkwaju wa penalty baada ya mshambuliaji wake luis Suarez kudondoshwa kwenye eneo la hatari na muanuzi howand webb kuamuru penalty Steven Gerald alipiga pena na matokeo yakawa mbili kwa moja .
Hadi dakika 90 zinakwisha arsenal wakaibuka washindi kwa kuifunga magoli 2 kwa 1.
Wafungaji wa magoli chambalein na podosky huku la Liverpool akitupia Gerald .
Arsenal imetinga hatua ya robo fainal ambapo watacheza na Everton march 8.

Matokeo mengine ya mechi zilizochezwa Leo
Everton 3 vs 1 Swansea
Sheff utd 3 vs Nottm forest

Ratiba ya Robo fainal mechi zitachezwa march 8 na 9
Arsenal vs Everton
Man city vs Wigan
Brighton or hull city vs Sunderland
Sheff utd vs sheff Wednesday or Charlton athletic

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top