Mbunge wa
Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Z. Kabwe pamoja na Mwanasheria
wake,Albert Msando (kulia) wakiwasili katika Mahakama Kuu jijini Dar es
Salaam leo huku wakiongozana na wafuasi wanaopinga kuvuliwa uongozi
wake,tayari kwa kwenda kusikiliza kesi yake aliyoifungua dhidi ya Chama
Chake cha CHADEMA inayosikilizwa leo Mahakama Kuu.
Wafuasi wa
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe wakimshangilia
kiongozi wao alipokuwa akiwasili Mahakamani hapo leo.Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment