Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Badgalriri kama anavyojiita kwenye instagram ameweka wazi hisia zake juu ya huyu jamaa ambaye ni mchezaji wa American football. Siku ya jumatatu alipost picha ya mchezaji wa Philadelphia Eagles “Mychal Kendricks” na kuandika “Is it Monday?…coz chhh..#MCM 
MCM maana yake ni Man Crush Monday na mitandao mingi huko Marekani imeandika huenda Rihanna akaanzisha uhusiano na mchezaji huyu kutokana na kuwa na historia ya ku-date na mchezaji mwingine American football. 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top