Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 
watuhumiwa watatu walokamatwa na bunduki ya kivita aina ya G3 wakiwa katika kituo kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Katavi ambao walikamatwa na bunduki hiyo ya kivita hapo january 10 2014 majira ya saa mbili usiku katika kijiji cha matandalani kata ya sitalike wilaya ya mlele wakiwa njiani kuelekea Tunduma mkoani mbeya watuhumiwa hao ni simon Kasobhile (42) mkazi wa Ileje Mbeya, BIlau Rashidi (44) maarufu kwa jina la maftah mkazi wa sumbawanga na Martin John (32) mkazi wa Tunduru 


Picha na Walter Mguluchuma

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top