BISHOSTI anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond
‘Koleta’ amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi
kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo
hicho kwa tamaa ya pesa.
Coletha Raymond ‘Koleta’.
Akistorisha na Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza.
“Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi wanataka kuwatumia wanawake
kinyume na maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho. Alishawahi
kunitokea mwanaume mwenye heshima zake, alinipigia simu na kuniambia
licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa.
“Nilipomuuliza
ni vitu gani akaniambia anataka anitumie kinyume na maumbile na
nichague zawadi isiyopungua milioni tano aniletee, nikakataa na
kumwambia sifanyi biashara hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia
sana wanaofanya mchezo huo,” alisema Koleta.
Post a Comment
Post a Comment