Akipiga stori na paparazi wetu, Monalisa alisema amejifunza maisha ya usiri na ndiyo maana huwa haaniki hata tarehe, mwezi au mwaka wa kuzaliwa kwani watu wabaya hutumia nafasi hiyo
kukuangamiza“Asikudanganye mtu ukishaanika tu hivyo vitu mtu akajua na majina yako yote kuna nini tena hapo zaidi ya kukufanyia ndumba uharibikiwe anavyojisikia yeye, huwa inaniwia vigumu sana kuweka hadharani vitu vyangu,” alisema Monalisa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment