
Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha usiku kucha kutengeneza daraja hilo.
Waziri Magufuli akitoa maagizo katika daraja hilo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment