Wachimbaji wadogo watatu wamekutwa wamekufa baada ya bkuangukiwa na kifusi cha mchanga .
tukio hilo limetokea wakati wachimbaji hao wakichimba dhahabu kwenye shimo lililoachwa na kampuni ya uchimbaji wa dhahabu ya GGM mkoani Geita
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment