| Jennifer |
" Jenifer ana fans wengi na anapendwa na wengi, dau lake si chini ya milioni 2 za kibongo kwa kila filamu, hachezi filamu nyingi kwa wakati mmoja so filamu anazoigiza hufanya vizuri, watu huwa hawamuoni sana kwenye filamu nyingi ndiyo sababu hupata hamu ya kuona filamu zake mpya" kilisema chanzo hicho kikichonga na Swahiliworldplanet
Kwasasa Jennifer anasoma kidato cha kwanza(form one) na baadhi ya filamu zake mpya zinatarajiwa kuingia sokoni mapema mwaka huu.
Jenifer akiwa na marehemu Kanumba
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment