![]() |
| Adam Mchovu, B12 na Dj Fetty |
Ni
wiki chache sasa tangu uvumi na tetesi zilizozagaa kila mahali kuwa
watangazaji wa clouds Fm "B12, Adam Mchomvu, Dj Fetty na Diva" kuwa
wamefukuzwa kazi na uongozi wa radio hiyo kutokana na utovu wa nidhamu.
Lakini leo katika kipindi cha XXL watangazaji hawa wamesikika tena baada
ya muda mrefu kutokuwa hewani, kitu kilicho pelekea tetesi hizo
kuaminika kuwa ni kweli.
kupitia mtandao wa twitter B Dozen(B12) amendika maneno haya
Dj Fetty naye ameandika "I think everyone should experience defeat at
least once during their career. You learn a lot from it."
na
kumalizia katika tweet nyingine akisema "expect what u have missed for a
while now....my voice..xxl baby".
Credit: BONGO TODAY WEBSITE
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment