Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mbunge wa kigoma kaskazini Mh Zitto Zuberi kabwe akiwa kwenye gari akiwapungia mkono wananchi waliokuwa pembezoni mwa barabara ya kigoma ujiji maeneo ya hospital ya Rufaa Maweni mkoani kigoma alipowasili asubuhi ya leo hapa mkoani kigoma kwa ziara ya siku 5 .msafara huo kielekea kwenye jimbo lake la kigoma kaskazini
 
Wanachama na wapenzi wa chadema wakimsindikiza mh Zitto kabwe kwa mapango mbalimbali 

hili ndio gari lililobeba spika za matangazo na wakiwa katika msafara wa kuelekea mwandiga wapenzi na wanachama wa chadema walikuwa wengi sana hadi kusababisha foleni na magari kusimama kusubiria wapite huku muhesimiwa zitto kabwe akiwa kwenye gari akiwapungia watu waliojitokeza barabarani 

Madereva bodaboda wahakuwa nyumba kwenye msafara huo wa kumpokea mbunge zitto kabwe 

 watu walitembea kilometa zaidi ya 6 kutoka Airport hadi Mwandiga kwenye ngome kuu ya zitto kwa ajili ya kuwahutubia wananchi na wapenzi wa chama cha chadema mkoani kigoma.
Mabango nayo hayakuwa nyuma kwenye msafara huo wamapokezi ya zitto kabwe leo 


Walinzi wa muheshmiwa zitto kabwe wakisindikiza gari kwa karibu kwa ajili ya kumpa ulinzi


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top