Yaya Toure akikabidhiwa tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa BBC 2013.
Kiungo
wa Manchester City na timu ya taifa ya Ivory Coast, Yaya Toure
ameshinda tuzo ya mchezaji bora barani Afrika ya BBC kwa mwaka 2013!
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 30, aliwashinda wachezaji wenzake
Pierre-Emerick Aubameyang, Victor Moses, John Mikel Obi na Jonathan
Pitroipa na kuibuka mshindi wa tuzo hiyo.
Post a Comment
Post a Comment