Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.


Msanii wa filamu Wastara jana ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.
Mzee Chiro akiwa na Wastara.  
Mzee Chiro akiwa na Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya jna. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.

 

Wastara na Frora Mvungi  
Wastara na Flora Mvungi 
 Dua ikisomwa  
Dua ikisomwa
IMG-20131228-WA0068
IMG-20131228-WA0069
IMG-20131228-WA0077

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top