kampuni
ya Global Publishers Ltd, inayochapisha magazeti ya Uwazi, Championi,
Ijumaa Wikienda, Risasi, Amani na gazeti hili, iko tayari kumlipa kiasi
cha shilingi Milioni mia tano, mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta,
Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ ikiwa atatoa uthibitisho kwamba,
picha za utupu alizopigwa nchini Afrika Kusini ni za kutengenezwa, soma
data chini.
Ofa
hii imekuja siku mbili baada ya gazeti moja la michezo na burudani
linalotoka mara mbili kwa wiki, toleo la Jumanne Mei 18, 2010 kuchapisha
makala kuhusu Aisha akikanusha kuwa, picha zile si zake na kwamba
zilitengezwa na mbaya wake kwa lengo la kumchafua jina.
...kulia kwake ni unga..bila shaka ulimpotezea kumbukumbu
Hata
hivyo, katika makala hayo, Aisha alishindwa kuthibitisha picha hizo ni
za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha
picha hizo ni za kutengeneza.
Ushahidi wa Global kuwa, picha hizo ambazo za mnato na video ni za Aisha mwenyewe upo wazi na hakuna shaka yoyote.
Moja
ya ushahidi huo, katika picha za video, kuna sehemu Aisha anaongea kwa
tambo akiwaponda watu wanaomfuatafuata na kumsema vibaya.0
...sasa hapa inakuwaje picha hizi zikitoka gazetini...!!!!
Tunamnukuu:
“Wanasema eti nimeishiwa, nimekosa nauli ya kurudi Tanzania, waende
basi kwa huyo Asha Baraka wakaseme, maana wamezidi kwa maneno.”
Hata
hivyo, sehemu kubwa ya picha za mnato na video hizo zinaonesha wazi
kwamba, Aisha alikuwa tayari kupigwa picha hizo, kwani kuna wakati
alikuwa akitazama kamera na nyingine akiwa ameweka pozi.
......aaa jamani...niacheni ki mpango wangu!!!!
Aidha,
ushaidi mwingine kuwa picha hizo ni Aisha, mara baada ya kutua Bongo
akitokea Afrika Kusini, alimwangukia bosi wake, Asha Baraka akimwomba
radhi kwa yote aliyoyafanya Afrika Kusini ambapo gazeti hili liliripoti
likiwa na kichwa cha habari; NATESEKA.
Katika
habari hiyo, Asha Baraka ‘Iron Lady’ alinukuliwa akisema kuwa, anaamini
Aisha aliteleza na hivyo ameamua kumsamehe na kumrudisha kundini
kuendelea kupiga mzigo kama kawa.
....ntajua ntakachowaeleza watanzania....
Tunamnukuu
Asha Baraka: “Mimi kwa Aisha ni kama mama au dada yake, na ninavyojua,
mtoto anapojisaidia kiganjani mzazi huwezi kuukata mkono bali
utausafisha kisha kuyaacha mambo yaendelee. Vivyo hivyo kwa Aisha,
kafanya kosa lakini hakuna kosa lisilostahili msamaha, kwahiyo
asamehewe.
“Atakachokifanya
Aisha ni kuomba radhi kwa mashabiki wake na katika kila sehemu ambayo
tutafanya shoo atafanya hivyo kabla ya kuanza kutumbuiza.”
.......ni mzimu wangu tu huu...siyo mimi..!
Pia,
katika kuonesha ubinadamu, mwisho wa habari hiyo Mhariri aliwaomba
Watanzania wasahau yaliyopita kuhusu Aisha na aombewe kwa Mungu ili
amwepushe na mitihani mingine nkatika maisha yake.
Katika
hali ya kushangaza sana, baada ya kimya cha muda mrefu, Aisha ameibuka
katika gazeti hilo akidai kwamba picha zile zilikuwa za kutengeneza hali
iliyozua maswali miongoni mwa wasomaji wetu.
Habari
hiyo, ambayo ilionekana Aisha alikuwa amelenga kuwafanya Watanzania
waamini Ijumaa linaandika habari za ‘mezani’ alisema, yupo mwanaume
mmoja aneyemsumbua kimapenzi kwa muda mrefu, ambaye ndiye aliyemfanyia
unyambisi huo.
......mimi siyo Aisha niangalieni vizuri...!!!!!
“Huyo
anayenichafua alikuwa ananitaka kimapenzi nikamkatalia na siwezi
kumkubalia, hata kwa mtutu simpi mwili wangu ng’o, kuamua kunitangazia
sifa chafu si suluhisho la mimi kumkubali, zaidi ya kumuona kichekesho
kwani katika jamii ya watu wastaarabu hafai, namfananisha na
‘nungayembe’ la kiume,” alisema Aisha katika sehemu ya habari hiyo.
Aidha,
aliongeza: “Picha za ngono zilizoenea kila kona ya nchi, zinazonihusu
mimi si za kweli, amefanya hivyo kwasababu ‘nilimpiga za uso kavukavu
bila chenga’, siwezi kupoteza muda wangu kubishana naye, nitakuwa
nampandisha chati, lakini ajue hata kwa mtutu hapati kitu kwangu.”
Katika
juhudi za kulishusha ‘grade’ gazeti hili, sehemu ya habari hiyo
ilisomeka, ‘Anadai amekuwa akikabiliwa na tuhuma za kupiga picha za
ngono na utupu zilizosambazwa sehemu mbalimbali hasa katika magazeti ya
udaku, ambapo kiuhalisia si zake.
....baada ya mitungi, mikasi....Aisha akiwa na Khumalo
Katika
hatua nyingine, mapema wiki hii, kijana Khumalo aliyefanya naye uchafu
huo nchini Afrika Kusini, amelitumia waraka pepe (e-mail) gazeti hili
akiomba msahama kwa Aisha.
Alisema
anakiri kumtenda vibaya (kupiga na kulikisha picha hizo) mnenguaji
huyo, lakini anamuomba amsamehe na waanze ukurasa mpya
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro














Post a Comment
Post a Comment