Hapa ndipo walipo ingilia.....
==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...
===================
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto na Mwingamba...
Habari kwa hisani ya JF
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment