Marehemu Nelson Rolihlahla Mandela enzi za uhai wake.Leo inafanyika ibada kubwa ya kitaifa Uwanja wa FNB, Johannesburg kumuaga Nelson Mandela ambapo viongozi mbalimbali watahudhuria ibada hiyo wakiwemo Rais Barrack Obama na mkewe Michelle, Rais Jakaya Kikwete, Rais Robert Mugabe na mkewe, Rais Uhuru Kenyatta na mkewe, Rais Yoweri Museveni, Rais Joyce Banda na wengineo wengi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment