Japo bado ni ngumu kuamini kuwa staa wa Fast & Furious Paul Walker
hatunaye tena duniani lakini ukweli unabaki palepale kuwa ni kweli
ameondoka na hatarudi tena na weekend iliyoisha amezikwa.
Ikiwa baada ya wiki toka afariki hatimaye marafiki wa karibu na ndugu walipata nafasi ya mwisho ya kusema kwa heri kwa muigizaji huyo ambae kifo chake kilisababishwa na ajali ya gari lililopata ajali na kuwaka moto. Uchunguzi zaidi kuhusu kifo chake bado unaendelea.Mungu ampumzishe kwa amani huko aliko.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment