Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Ni wiki kadhaa zimepita toka B Hits kutangaza kuacha kufanya kazi na rapper wa ‘baadae sana’ ambae ni Mabeste kutokana na kudaiwa kukosa nidhamu na kukiuka sehemu ya mkataba wake ambapo kufuatia malalamiko kutoka kwenye kila upande, B Hits na Mabeste walikubali kukutanishwa studio live ili kila mmoja atoe hoja live kupitia XXL ya Clouds FM.

Picha ya kwanza hapo juu ni Mabeste na mpenzi wake waliepata mtoto miezi kadhaa iliyopita.


Picha za baadhi ya nguo ambazo Mabeste amewahi kusaidiwa na B Hits.
Amani kutoka B Hits.
Hii hapa chini ndio inadaiwa kuwa msg ya vitisho aliyoituma Mabeste kwa B Hits. BOFYA HAPA KUCHEKI VIDEOS ZOTE NNE ZA TUKIO ZIMA... 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top