Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani    Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha 
zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni akiwa na njemba nusu uchi.
  Dayna kupitia page yake ya facebook, ameweka wazi kwamba sivyo kama ilivyoandikwa na baadhi ya mitandao kwamba alfumwa badala yake ilikuwa ni sehemu ya location ya video yake ya wimbo mpya wa mimi na wewe


"Jamani izi ni moja ya Picha.... Tulipokuwa location tuna shoot wimbo wangu wa "Mimi Na wewe" Na sivyo kama ilivyo semekana. Na baadhi ya blogs kwamba nimefumwa beach nikijiachia sijui nini Na nani kha!

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top