Mwanafunzi wa chuo kimoja nchini Nigeria amemwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi
Ilikuwa
ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel
alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la
Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua kuchukua
pikipiki hadi kwa rafiki yake alipofika tu alikuta viatu vya boyfriend
yake nje, akashtuka kwanza kwani sio kawaida ya jamaa huyo kwenda kwa
Naima bila ya kuwa na Nasra, Nasra alijaribu sana kugonga lakini
hakufunguliwa, na baadae aliamua kupiga simu zote mbili ya rafiki yake
na ya boyfriend wake pia zote zikaita tu bila kupokelewa, Alikaa pale
nje hadi majira ya saa sita usiku, ambapo alishajua kunakitu
kinaendelea.
Muda ulivyozidi kwenda Nasra alitoka na kwenda kuchukua marafiki zake wengine wawili, aliporudi alikuta bado hawajatoka ndani.
Mpaka majira ya saa saba hivi usiku, Nasra akiwa amebeba mafuta ya moto kwenye chupa ya chai yeye na marafiki zake walivunja mlango na kuwakuta wawili hao ndani wakiwa katika hali ya uoga jamaa alifanikiwa kukimbia na kumuacha Naima chumbani ambapo Nasra alifungua chupa ya chai na kumwagia mafuta hayo ya moto rafiki yake huyo msaliti.
Nasra alikamatwa baadae na kufikishwa kituo cha polisi ambayo alihojiwa na kusema kwamba, alikuwa akipata tetesi na uvumi kwamba mchumba ake anatembea na rafiki yake kwa siku nyingi hivyo alikuwa anatafuta tu uthibitisho, na ameupata baada ya kuatilia kwa muda mrefu.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment