Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 

Dk. Sengondo Mvungi wakati akipelekwa MOI.
 

Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi leo asubuhi amepelekwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.

 Dk. Mvungi alijeruhiwa vibaya na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi usiku wa Novemba 2 mwaka huu nyumbani kwake, Kibamba jijini Dar es Salaam na alikuwa akipatiwa matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika kitengo cha MOI.

TUOMBA MWENYEZIMUNGU MSAIDIE.... AAMIN

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top