MSANII Zuwena Mohammed 'Shilole' ameonekana kupata uchizi kufuatia matusi mazito aliyoporomoshewa mtandaoni baada ya kuweka picha ya baba wa Wema Sepetu na kuandika R.I.P baada ya kutundika picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram akitarajia kuungwa mkono na wadau, wengi walionekana kukerwa na kitendo hicho huku wakimuita mnafiki mkubwa pamoja na maneno mengine makali.
![]() |
| Zuwena Mohammed 'Shilole'. |
Wema akizungumzia ishu hiyo alisema, anamshangaa Shilole kwani wanaomtukana wala hawajui na kama ana mpango wa kumshitaki atapoteza muda wake bure.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment