Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi
Mhe. James Mbatia na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya
Katiba Dkt. Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) jana Oktoba 3, 2013 kufuatia
kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamosi
Oktoba 2, 2013.
(PICHA NA IKULU)
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment