Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwanadada Huddah Baada ya kupost picha ikimuonesha maungo yake, The C.E.O her self Sintah amshukia na kumuandika katika blog yake kwa mambo ya ajabu anayofanya akiwa kama msanii ambaye ni kioo cha jamii.., Sintah ameonekana kaguswa sana na mambo ya ajabu ambayo wanapost wasanii wenzake ikiwa lengo lao ni kuuza sura katika vyombbo vya habari na blogs pia bila kuzingatia kama wanapoteza heshia katika jamii.


HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA SINTAH KATIKA BLOG YAKE

"maajabu ya Musa na ustaa wa sasa lazima ujianike kama vitunguu ili ujulikane, shurti matako yanaonekana khaaa kuna vitu vingine vinashangaza sana dunia maana huyu dada anajaribu kadri ya uwezo wake atoke lakini hatoki kihivyoo ni watu wamitandao na walioangalia BBA  ndo wanamjua.

hana tofauti na yule mwanafulenge sema huyu ana mvuto kule kwingine mvuto kushnehiii babu G 

Ahsante "


 Kama hukuiona picha ambayo imemfanya The C.E.O her self mpaka kuongea basi Bonyeza hapa chini ujioneee.....

                          <<<BOFYA HAPA KUIONA >>>

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top