Mwanamziki
namba 1 kwa kupiga show hapa Tanzania Diamond Platnumz hivi karibuni
alitoa maneno akizungumza siku akifa itakuwawaje kitu ambacho kilizua
maswali mengi sana kwa mashabiki wake ambao hawakutegemea hata siku
moja kama atakuja kusema maneno kama hayo kwa mashabiki wake kwani
yalizua mining'ono mingi sana. Katika kusema hayo maneno Diamond
alisema ni moja kati ya nyimbo ambayo ameiandika na inamtoa machozi kia
aisikapo.
Baadhi ya mashairi katika nyimbo hiyo alisema:
Vipi Maneke atanililia...??
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??
Ama litafutika jina langu...??
Na nyimbo zangu hawatasikia..??
Vipi wasafi watanililia....??
Je ndugu rafiki watahudhuria..??
Ama nitakapokufa Sina changu..??
Hata mama yangu watamkimbia...??
Kwa mara ya kwanza pata kuisikiliza na kudownload nyimbo hiyo yenye maneno ya kuudhunisha kutoka kwa Diamond
Baadhi ya mashairi katika nyimbo hiyo alisema:
Vipi Maneke atanililia...??
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??
Ama litafutika jina langu...??
Na nyimbo zangu hawatasikia..??
Vipi wasafi watanililia....??
Je ndugu rafiki watahudhuria..??
Ama nitakapokufa Sina changu..??
Hata mama yangu watamkimbia...??
Kwa mara ya kwanza pata kuisikiliza na kudownload nyimbo hiyo yenye maneno ya kuudhunisha kutoka kwa Diamond
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






